Pages

Thursday, August 9, 2012

AJALI: Basi la Saibaba (Dar-Mtwara) laungua


Basi la Saibaba limeteketea kwa moto likitokea Dar kuja Mtwara, abiria wako salama ila mizigo yote imeteketea. Chanzo kimoja kimeeleza sababu ya kuungua kwa Gari hilo kuwa ni shoti, ajali hiyo imetokea maeneo ya NjoNjo- MTWARA
 

No comments:

Post a Comment