Pages

Friday, August 3, 2012

Taswira katika picha za ufunguzi wa sherehe za maonesho ya kilimo nane nane kanda ya kusini

Mheshimiwa Ghasia akisikiliza kwa makini maelezo toka kwa mtaalaamu wa kilimo

Waziri akipata maelezo ya bidhaa kutoka kwa mtafiti wa kilimo Ndugu Bashiru

Mtaalamu wa kilimo hifadhi Iddi Nandala akimueleza mheshimiwa waziri jinsi ya kupima ardhi kwa ajili ya kilimo


Muhogo ulivunwa kutokana na mbegu za kisasa za muhogo

Mkali
0688323837

No comments:

Post a Comment