Mh Simbakalia akipata maelezo ya kilimo hifadhi kutoka kwa mtaalamu wa kilimo hicho Mwalimu Nandala wa chuo cha kilimo Mati-Mtwara |
Mgeni Rasmi mkuu wa mkoa wa mtwara Mh Simbakalia akisalimiana na wenyeji kabla ya kuanza kukagua mabanda. Mheshimiwa Simbakalia akipata maelezo ya drip irrigation kutoka kwa mwalimu siame wa Mati-Mtwara |
No comments:
Post a Comment