Mbunge wa Ubungo John Mnyika leo anakusudia kukusanya maoni juu ya suala la SSRA na NSSF, ili kutimiza adhma yake ya kuwasilisha hoja binafsi. Kikao hicho kitakuwa online moja kwa moja kwenye blog yake ya.. www.mnyika.blogspot.com. Nanukuu tweets zake.
John Mnyika@jjmnyika
Leo saa saba hadi tisa alasiri,mkutano wa mtandaoni kutoa maoni juu ya suala la #SSRA na #NSSF !Mjadala utakuwa ktk: http://www.mnyika.blogspot.com !
John Mnyika
Nalazimika kukusanya maoni kwa hatua ya sasa kupitia njia ya mtandao kutokana na udharula wa hoja husika: http://www.mnyika.blogspot.com #SSRA #NSSF
John Mnyika@jjmnyika
Kuanzia saa7-9alasiri ingia: http://www.mnyika.blogspot.com utoe maoni yako juu ya #SSRA na #NSSF yatumike ktk Hoja ya Dharura itakayowasilishwa!!
Ramadhan Kareem na jumapili njema.
Mkali.
No comments:
Post a Comment