Pages

Thursday, October 4, 2012

Vikao vya CCM vyakomba hela hazina, mishahara mwezi September hamna


Kwa habari za uhakika, kutoka chanzo cha uhakika ni kwamba mkutano wa ccm dodoma na chaguzi zinazoendelea ndani ya chama vinaendeshwa kwa mamilioni ya pesa yaliyochotwa hazina.

Pesa hizo ambazo nyingi zilikuwa za mishahara ya wafanyakazi wa serikali, hasa wale wa serikali kuu  na mikopo ya wanafunzi wa vyuo vikuu nchini zimesababisha mpaka leo wafanyakazi hawajapata mishahara ya septemba, na "boom" la wanafunzi linapigwa danadana.

No comments:

Post a Comment