Pages

Monday, October 1, 2012

Wassira awakana 'watoto wake' waliojiunga na CHADEMA...

 
Steven Wasira (waziri) amefunguka na kusema kuwa watoto waliotangazwa kujiunga na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), si wa kwake bali ni watoto wa kaka yake wa damu.
 
Mzee wasira anaingia katika mkumbo uleule wa Raisi wa awamu ya Tatu Mzee Benjamin Mkapa. Mzee Mkapa alimtaja Vicent Nyerere (Mbunge) kuwa hatokani na ukoo wa Mwalimu Nyerere.


Tusubiri kama kweli si watoto wa kuzaa, atamjibu vipi kakake kama kaona watoto wa kakake si wake.
 
Chanzo: TBC Habari

No comments:

Post a Comment