MAKETE
Ni maeneo ya vijijini
sana (Matamba na Mahanji) Leo kulikuwa na Chaguzi ndogo mbili ambako wenyeviti
wa awali CCM wote walifariki kwa nyakati tofauti, CHADEMA wameshinda vijiji
vyote viwili kwa ushindi wa Kimbunga. Awali vijiji vyote vilikuwa chini ya CCM.
Ni taarifa tu wandugu
www.jamiiforums.com
No comments:
Post a Comment