Pages

Sunday, July 15, 2012

Ndungai aelezea kwa nini alimwita Mdee kituko

                                          Mh. Ndugai
Leo katika kipindi cha Tuongee Asubuhi cha Star Tv leo, Naibu spika wa bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Job Ndugai, ameeleza sababu ya kumuita Mbunge wa kawe Mh Halima Mdee kuwa ni kituko. Mh Ndugai alisema  'Mdee alionesha dharau na kubinua vidole'.

Mkali
0719466466

No comments:

Post a Comment