Pages

Thursday, July 12, 2012

MBUNGE CDM AMSHTAKI Dr SLAA


Katika kile kinachoonekana kupunguza kasi ya CDM na kiongozi wake machachari Dr Wilbroad Slaa Mbunge wa viti Maalum wa chama hicho Rose Kamili amekwenda mahakamani kumshtaki Katibu mkuu wake Dr Wilbroad Slaa kwa kile anachopinga uhusiano wa Dr Slaa na mke wake mtarajiwa Josephine Mushumbusi.Katika hati ya mashtaka aliyo nayo Rose analalamikia kutelekezwa yeye na watoto wake wawili baada ya Josephine kuingilia ndoa yao.Anaiomba mahakama itamke uhusiano wa Dr Slaa na Josephine ni batili.
Kuna tetesi zimezagaa Rose Kamili amenunuliwa ili kuvuruga mikakati ya CDM kuiandama serikali ya CCM

Source:Tanzania Daima

No comments:

Post a Comment