Kikao cha kupitisha matokeo ya muhula wa pili wa masomo katika chuo cha kilimo Mtwara (MATI-MTWARA) kimeanza asubuhi hii. Fuatilia group page ya wanamati kwenye mtandao wa kijamii wa FACEBOOK pamoja na blog hii kwa taarifa zaidi.
Mkali,
0719466466
No comments:
Post a Comment