Chama cha madaktari chaomba ulinzi UN
Mchana wa leo, Jumatatu, Julai 9, 2012 Chama Cha Madaktari (MAT) kimewasilisha maombi ya ulinzi kwa Viongozi wake na Dkt. Ulimboka (mwanachama wao) kwa Uongozi wa Umoja wa Mataifa (UM). Nakala ya barua hiyo imepachikwa hapa.
Source: http://www.wavuti.com
No comments:
Post a Comment