kila mahali utasikia kuna mgomo kule ama huku na kuna baadhi
ya maeneo migomo ya wananchi haiwekwi wazi angalia baadhi migomo hii
•kigoma - wananchi wanagoma kupandishiwa ushuru ili hali
huduma ni mbovu (RFA jana)
•Walimu wanajiandaa kugoma nadhani kesho wanaanza mgomo
rasmi
•kisa cha madaktari kinajulikana
•Ndaga, Mbeya mgomo wa kupinga ongezeko la ushuru hii
ilikuwa juzi tu
No comments:
Post a Comment