Pages

Monday, July 2, 2012

Madaktari bingwa Muhimbili Watangaza mgomo rasmi


Edwini Chitage katibu wa jumuiya madaktari.

Madaktari bigwa wagoma rasmi wamesema hawawezi kufanya kazi peke yao na wako tayari kwa lolote na wamesema liwalo na liwe. Hatuwezi kufanya kazi katika mazingira haya hatarishi na magumu.

Wamedai Rais kapotosha umma na wamehoji iweje rais asikilize hoja za upande mmoja?

Kwa habari zilizopo wagonjwa hakuna na waliopo wodini wametelekezwa.

No comments:

Post a Comment