Pages

Friday, July 13, 2012

Nane nane Lindi-Mtwara

Maonesho ya nane nane kanda ya kusini yanahusisha Mtwara, Lindi na Tunduru. Maonesho hayo hufanyika kila mwaka katika eneo la Ngongo lilopo Lindi, hivyo wakulima, Halmashauri na taasisi mbalimbali za serikali hupata fursa ya kuonesha teknolojia mbalimbali za kilimo na kuzisambaza. Leo hii nilipata fursa ya kuhudhuria kikao cha maandalizi ya sherehe hizo za nane nane, ambazo kitaifa mwakani zitafanyika kanda ya kusini. Nilipata bahati ya kukutana na jamaa hapo pichani..Unamkumbuka? karibuni Mtwara wadau.

Mkali.
0719466466

No comments:

Post a Comment