Kuna vurugu zinaendelea Zanzibar. Polisi wapiga mabomu na risasi kutawanya waislamu waliokuwa msikiti wa mbuyuni wakifanya muhadhara.(UAMSHO)
Ilikuwa zamu ya amir farid kuzungumza baada kumaliza kuzungumza kwa Shekhe suleiman haji,mara wakatokea polisi nakuanza kurusha mabomu bila sabab,.bila yakuzingatia taifa kama limo kwenye msiba kwa kupoteza jamaa zao.

Fuatilia taarifa mbali mbali za vituo vya television kwa taarifa zaidi usiku huu.
Chanzo: blogs mbalimbali na wikis.
No comments:
Post a Comment