Utafiti uliofanywa na watalaam toka nchini umegundua wanafunzi wanafunzi wa vyuo tanzania
1.hupenda kwenda baa na kumbi za starehe kuliko lecture na semina
2.hushinda room kuliko library
3.hujua mitindo ya mavazi kuliko modules
4.huogopa sup,carry na disco kuliko dhambi
5.humfahamu wakurugenzi wa bodi ya mikopo kuliko wahadhili
6.huudhuria birhdays,harusi kuliko ibada
7.hutoa ofa kwa wenzao kuliko sadaka misikitini na makanisani
8.hupenda ku discuss mishahara kuliko maswali
9.hupenda kuwabagua wenzao wanaotoka familia za kimasikini kuliko matajiri
10.huchukia sana siku za mitihani,test.
Toa maoni yako..........
Mkali
0719466466
No comments:
Post a Comment