Pages

Friday, July 13, 2012

Mjasiriamali wa Matunda


Leo nlikuwa safarini kuelekea Lindi kikazi, wakati narudi nilisimama kumuungisha mjasiriamali aliyekuwa akiuza matunda..kikubwa kilichonifurahisha ni business name pamoja na advert yake..all in all hiki ndo kibanda anachopatia riziki...Wazo la kuweka kibanda hicho alipewa na Mh Membe kuepuka tatizo la kusubiria wateja barabarani.

Mkali
0719466466

No comments:

Post a Comment