CHADEMA kimetoa taarifa kuwa viongozi wake wakuu hapo juu,wanataka kuuawa na usalama wa taifa.Kimesema kuwa wanazo habari za uhakika na wahusika watatajwa mahakamani itakapobidi.kimesema kama usalama wa taifa wana mashaka na madai yao,basi waende mahakamani.Pia CHADEMA kimekanusha kuhusika wala kuunga mkono mgomo wa madaktari,hakijawahi kushawishi,kufanya vikao nao kwa nia hiyo.Bali CHADEMA inatetea haki za watanzania wote wanaonyanyasika madaktari wakiwemo.
CHANZO
TAARIFA YA HABARI CHANEL TEN SAA 1 JIONI
No comments:
Post a Comment